Namchukia Mwanaume Aliyenipa Mimba - Nisha Bebe


Msanii wa bongo movie Nisha Bebe amesema ujauzito wake unampa hisia tofauti na mawazo mpaka anafikia hatua ya kupost mambo tofauti tofauti kwenye mitandao yake kwa kuwa hampendi mwanaume aliyempa ujauzito huo.

Akiongea ndani ya eNewz Nisha amesema amevumilia miezi mitano bila mtu kujua kitu chochote juu ya mimba yake lakini kwa sasa ameshindwa kuvumilia na hiyo ni kutokana na maumivu anayoyapata na kwamba mimba aliyoibeba ni ya mtu ambaye hampendi tena.


Pia Nisha amesema mwanaume aliyempa mimba ni mtu ambaye anapenda kujionesha sababu ambayo ilipelekea wakaachana pia Nisha amesema anamuomba Mungu mtoto wake asifanane na baba yake na kama ikitokea akifanana naye hatakuwa budi ya kumficha bali atampa mtoto wake kila anachokitaka kwa kuwa mtoto hana kosa lolote.
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na wakati unamwambia"babe tia yote bila ya kutumia kofia ya mboo(condom)unausikilizia utamu wa mboo kwa sikio la kushoto ilikuwa poa sasa bla bla bla bla...think positive

    ReplyDelete
  2. Unaboa sana we mwanamke. Utalalamikaje namna hiyo wakati mimba ni matokeo ya mtu mme na mtu mke? Ulilewa hadi kutokutambua kilichokuwa kikitendeka? kifupi. Kaa kimya usibiri kijacho.

    ReplyDelete
  3. Mnapokuwa kwenye mahaba mnafunga milango na madirishall hatusikii. Kikishanuka mnatufungulia milango madirisha .aliewaambia hiyo ndio inatufaa sie nani??

    ReplyDelete
  4. Nisha kaa kimya kelele za nini umejitakia wewe mwenyewe

    ReplyDelete
  5. Tutolee huu upuzi wako hapa, Utajiju, wakati mlipokuwa mnapatana mpka kpelekea kuanza uzinzi wenu ulikuwa kimya, sasa umeachwa sijui ndio povu linakutoka kwenye social media. Stupid, kaa kimya ule mtumbo wako

    ReplyDelete
  6. huhuhuuuuu Nishaa usituletee hbr zako za kizamani hapa,huenda pia mimba imemchukia baba kijacho.
    ukishajifungua utakaa kimya mwenyewe

    ReplyDelete
  7. bora ukae kimya hata ukimchukia ni baba mtoto wako

    ReplyDelete
  8. yaani...tumechoka na upuuzi wko huo,tulia uzae malaya wewe!!!

    ReplyDelete
  9. jamani hiyo zanzibar hakuna ma psychologist wamsaidie mdada kabla hajafika hukoooo. hali ni mbaya tumsaidie mtoto wetu

    ReplyDelete
  10. NISHA ...NISHA POLE..TENA POLE SANA...jamani hivyo zanzibar hakuna ma psychologist wamsaidie mdada kabla hajafika hukoooo. hali ni mbaya tumsaidie mtoto wetu

    ReplyDelete
  11. NISHA ...NISHA POLE..TENA POLE SANA...jamani hivyo zanzibar hakuna ma psychologist wamsaidie mdada kabla hajafika hukoooo. hali ni mbaya tumsaidie mtoto wetu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad