Naombeni ushauri jamani,
Nimeoa na ndoa yangu ina mwaka sasa. Mke wangu ana tabia nzuri sana kiasi kwamba kila mtu ananisifia kuwa nimepata mke bora.Tatizo linakuja kitandani, yaani si enjoy chochote kile kutoka kwake najikuta sina hamu naye kabisa hali inayopelekea niwe nasingizia naumwa ili asiombe mechi.
Na nilimuoa kwa sababu ya tabia yake na hatukusex mpaka ndoa! Nashindwa kutoka nje kwa sababu ya heshima niliyonayo ndani ya jamii na pia kuheshimu ndoa yangu na isitoshe kwa sasa tuna mtoto mchanga. Ana maumbile makubwa na pia maji mengi nimefikia hatua hata abaki uchi mbele yangu sisimki kabisa.
Nimecreate account fake ili nipate ushauri please
Jamani nifanyeje kwani si enjoy kabisa maumbile yake?
Tutolee ujinga wako. Ulizaa nae vipi! Tatizo labda wewe unamaumbile madogo. Asipozaa makelele, kakuzalia unanza ooo maumbile makubwa. Acha utoto
ReplyDeleteTutolee ujinga wako. Ulizaa nae vipi! Tatizo labda wewe unamaumbile madogo. Asipozaa makelele, kakuzalia unanza ooo maumbile makubwa. Acha utoto
ReplyDeletewewe mwenzako ndiyo kwanza kajifungua halafu wewe unawaza kufanya mapenzi kwanza sio vizuri kwa afya yake usubiri mpaka baada ya muda mpaka akipona na kuwa tait, sijui huko bongo mwanamke akijifunguwa huwa wanashonwa kule chini au wanaachwa hivyo hivyo wapone wenyewe? huku majuu mtu akijifungua tu anashonywa hapo hapo kabla ya kurudi nyumbani na ukishonwa inachukua muda mpaka upone kwa wakati huo huwezi kufanya mapenzi
ReplyDeletedunia inataka subira kaka huwezi kuishi upendavo bali kubali kuishi kama maisha yanavokupeleka mkeo hana maumbile makubwa wanawake wote duniani ni sawa mpe muda wa miezi miwili apone mean while unaweza kufanya nae romance na kiss usimtenge jihesabu wewe ungekuwa yeye ukatengwa ungejisikiaje
ReplyDelete