Nisha Bebe Alia Tena...Apewa Ujauzito na Kuachwa Solemba, Atuma Ujumbe Huu Kwa Muhusika

Msanii Nisha kwa mara nyingine tena amepata title ya u 'single parent'...

Ni baada ya kupewa mimba na kisha kuachana na baby dady wa kijacho hiko bila hata kusubiri mrembo huyo ajifungue.....

Ila Nisha kasema haina noma kama yule wa kwanza alimlea bila msaada wa baby dady, huyu ataanzaje kushindwa?

Huu Hapa Ujumbe wa Nisha Kwa Aliyempa Mimba na Kusepa:

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umgenchunguza kwanza na kumjua vizuri kabla ya kupata ujauzito sababu yalikutokea haya mara ya kwanza mambo hayo utakuwa unayajua

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad