Nisha Bebee Afunguka Tena Kuhusu Mimba yake, Aongelea Mazingira ya Kubakwa Yaliyomtokea Mpaka Kupata Mimba


Mwigizaji Nishabebee Anaendelea kufunguka kuhusu ujauzito wake kupitia ukurasa wake wa Instagram, Hapa chini ameongelea mazingira aliyopata hiyo mimba:


"Mtu pekee anayejua ukweli ni mimi.. pengine kweli nimekosea kwa kuweka hapa na kusema nanunua hadi sabuni ya boxer.

Ila kama ungevaa kiatu changu ungejua nnayopitia wkt huu.
coz ni kipindi ambacho siwezi vumilia kero wacha niwe mkweli wa hili,ni bora uwe na mtu ambaye mko kwenye mahusiano ndo akakupa mimba,kuliko hamko kwenye mahusiano akatumia rafiki zako anataka kukuona then kwa suprise akaja ukashindwa mfukuza coz hamkuachana kwa ugomvi na was like hamna kinachoendelea then rafiki yako alipoondoka akakubaka kisa tu ana nguvu za kukumiliki na anajua udhaifu wako.

Kinachoniuma zaidi zaidi ni kuwa kwenye mahusiano mengine na kupata mimba ya mwengine wakati uhusiano ulikwisha kwisha na akamove on na mwingine na mm niko ok kwa hilo ilhali yalisemwa mengi ya uongo na mm nikajitajidi kutofichua siri za niliyewahi kumpenda.
i've been through a lot... FUC.K U AND I HATE U FOR THIS" Nisha


Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huu utandawazi..mambo mengine ni siri yako ku ya mini kujianika mtandaoni!?

    ReplyDelete
  2. Wee ushakula mzigo tulia ushushe injini mara nyigine kelele za nini watu wajue wasijue haiwahusu

    ReplyDelete
  3. na wewe nawe unatuchanganya kama una akili ya kitoto vile kama ulibakwa kwa nini usingemshtaki? na kama umebakwa kwa nini usingetoa mimba kuliko umekubali kulea mimba ya mtu aliyekubaka unajua unaweza kumchukia huyo mtoto bure sababu ulibakwa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ananunuaga sabuni za kufulia boxer ya alombaka?; anazingua huyu

      Delete
  4. maana hatukuelewi usije ukawa unatafuta kiki ya kiajabu ajabu maana kila mara mitandaoni

    ReplyDelete
  5. Hili pumbavuuuuu jingaaaaa nenda kwa therapist kama unataka ushauri pumbavuuuu wewee...mara sitawesema mara nilibakwa we unakaribi akupata kichaa cha mimba...sasa alikumiliki na ukapanua miguu na viuno ukakata...na mimba ukapata si ndo udhaifu wako na kama upo kwenye mahusiano si ungemwambia uliyenae...mjue mnasovu vip hili tatizo...ooh kawatumia marafiki zake akaja mmeshaachana na kila mtu yupo kwingine mnawasiliana ili iweje wakat hamkuzaa mseme mnatunza mtoto...tutolee kichefu chefu hapaaa hiyo ndo mimba yako kwanza au umekuwa mwanfunzi wa darasa la3 aliyepewa mimba unakuja kulia lia hovyo wakati jimama zima chefuuùu mixeeewww

    ReplyDelete
  6. hueleweki, mara ulikuwa unamnunulia boxer, mara kakubaka. ulimnunulia boxer baada ya kukubaka?

    ReplyDelete
  7. Nyie wasanii kwa nini mnawaruhusu wanaume wawachezee namna hiyo na nyie ndiyo mnajiita vioo kwa jamii yaani hamjui kuwa wanaume wanawatumia na kuwatieni aibu ili msiendelee katika game ona huyo aliyekupa mimba hata sabuni ya kufulia boxer alikuwa hana unafikiri atapenda kuwa wewe unayo maisha mazuri wakati yeye mfuko umetoboka matokeo yake ndiyo hayo anakupa ujauzito na kukuacha solemba ili upate kazi ya kulea mtoto mwenyewe na ili usiendelee kwenye usanii mambo hayo yalimkuta mobeto lakini mobeto pamoja na yote karudi vizuri kwenye game ya modo na anamlea vizuri mwanae hakukubali mwanaume amwalibie kazi yake tena sasa hivi ana diamond mwenye mkwanja mrefu kuliko aliyempa mimba wasanii wa kibongo igeni wamarekani tafteni mabwana walio kwenye level yenu sio hivyo ambavyo hata sabuni ya kufulia boxer hana na umtaje humu ili umtie aibu kama alivyokutia aibu usimuogope

    ReplyDelete
  8. Hiaingii akilini my dia, why hukuchua hatua the next day baada ya tukio la kwenda hata pharmacy ya karibu yako au hospitali kupata pills za kutoshika mimba...ujue sometime tunatioa lawama zisizo na maana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad