PAUL Makonda Atoa Siri " Wapo Wanaoshinda Kwa Waganga na Wanaovaa Hirizi Wasitumbuliwe"


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amendelea na ziara zake za kutatua kero za Wananchi ambapo leo ameianza wilaya ya Kinondoni.

Akizungumza na Watumishi wa Umma wa Wilaya hiyo, Makonda alisema kuwa wapo wanaoshinda kwa waganga na wanaotumia hirizi ili kujikinga wasitumbuliwe.

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya hiyo DC Ally Hapi amesema kuwa atahakikisha anawashughulikia watendaji ambao hawawajibiki ipasavyo katika nafasi zao.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. VIJANA... MAJUKUMU TUMEKUPENI... NA KAZI NZURI MNAZOFANYA ZINAONEKANA... ENDELEENI KUMSAIDIA BABA JPJM.. NGUVU MNAZO..NIA MNAYO ...NA UWEZO MNAO.. NA SAPOTI YA MH. JPJM MNAYO.. ENDELEENI KIUADILIFU NA SISI WACHUKIA DILI TUKO NANYI BEGA KWA BEGA .. KUINYOOSHA NCHI NA WAJANJA WAJANJA... DILI KWETU NI MAREHEMU.

    ReplyDelete
  2. VIJANA... MAJUKUMU TUMEKUPENI... NA KAZI NZURI MNAZOFANYA ZINAONEKANA... ENDELEENI KUMSAIDIA BABA JPJM.. NGUVU MNAZO..NIA MNAYO ...NA UWEZO MNAO.. NA SAPOTI YA MH. JPJM MNAYO.. ENDELEENI KIUADILIFU NA SISI WACHUKIA DILI TUKO NANYI BEGA KWA BEGA .. KUINYOOSHA NCHI NA WAJANJA WAJANJA... DILI KWETU NI MAREHEMU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad