PESA Aliyoitoa Ronaldo kwa Familia za Wachezaji Waliofia Katika Ajali ya Ndege


Bado dunia na ulimwengu wa soka kwa sasa unaomboleza msiba wa msafara wa timu yaChapocoense ya Brazil uliyopata ajali wakati wakielekea kutua uwanja wa ndege waMedellin Colombia.

Ajali hiyo ya ndege imehusisha watu 81 kati ya hao 76 wamepoteza maisha huku 72 kati ya hao walikuwa ni sehemu ya msafara wa timu hiyo na wachezaji wakielekea kucheza mchezo wao wa fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Atletico Nacional ya Colombia.

Cristiano Ronaldo ni mmoja kati ya mastaa wa soka walioguswa kwa kiasi kikubwa na msiba huu, Ronaldo ameamua kuchangia euro milioni 3 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 9.6 kwa timu yaChipacoense na familia za wachezaji wa timu hiyo waliyopoteza maisha.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo mwandishi aliyeandika hii habari inabidi arudi shule maana nimemchunguza kira maana huwa anakosea kama hapo juu kaandika eti wachezaji wakielekea kucheza mchezo wao wa fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa Africa dhidi ya Atletico Nacional ya colombia, swali je hapo neno AFRICA limeingia kivipi?

    ReplyDelete
  2. ni maneno ya watu wanaongea kuwa Cristiano Ronaldo katoa mchango huo lakini mwenyewe hajatamka kitu chochote kuhusu kutoa mchango huo magazeti ya kimarekani yameendika hivyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad