Mwanaume mmoja nchini Uganda aliyefahamika kwa jina la Ivan Bebeto amekamatwa na Polisi akidaiwa kuwa amekuwa akijifanya yeye ni mwanamke na kuwatapeli wanaume.
Mwanaume huyo anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Katwe jijini Kampala akidaiwa kuwa hujifanya mwanamke ambapo huvalia mavazi ya kike na kujiweka kama mwanamke kisha kuwatapeli wanaume. Taarifa kutoka nchini humo zimeeleza kuwa mtuhuiwa huyo amekuwa akifanya ujanja huo kwa muda mrefu sasa hasa katika miji ya Nairobi, Kampala na Bujumbura.
Akiwa katika muonekano wa kike, mtuhumiwa huyo hujiita Queen.
Aidha, siku ya tukio hilo alikamatwa baada ya mwanamume mmoja aliyekuwa tayari amekubaliana nae kuanza kumtilia mashaka baada ya Bebeto kukataa kwenda nyumba ya kulala wageni kama walivyokuwa wamekubaliana kabla ya kupewa malipo.
Baada ya hali hiyo, mwanaume huyo ambaye jina lake halikufahamika mara moja alipiga simu Polisi na ndio Bebeto akakamatwa.
Du miaka miwili tu angefungwa maisha ili asiwaambukize watu wengine
ReplyDeleteDah huyo jamaaa anafanana kama yule Zari wa Domo platinumz duh
ReplyDeleteSafiii! Wangeongezeka kama hao uroho wa midume ungepungua. Hata mdoli wa duka la nguo ukiwa na hips ukipigwa pamba udenda unatoka. Huyo jamaa aachwe huru
ReplyDeleteDuh!! Lakini ana MGUU, kama MDADA kweli!!!
ReplyDeleteWewe hapo annoy 9.55 kafanana na mama yako mzazi
ReplyDeleteUlosema kafanana na Zari mimi nafikiri kafanana na mkundu wa baba ako.na kuma la mama ako
ReplyDeleteMungu atuhurumie maana muonekano wake ni kama binti jamani!!
ReplyDeleteMIDUME NAYENYEWE IMEZIDI.WAMUACHE TU HUYO JAMAA ASEPE. MAISHA MAGUMU, ALIKUWA ANAJIONGEZA.
Deletehizo picha mbili za hapo chini jamaa kaonekana kama kajipaka tope kumbe ni poda
ReplyDelete