PICHA 3: Mwanaume Aliyekuwa Akijifanya Mwanamke na Kutapeli Wanaume Akamatwa

Mwanaume mmoja nchini Uganda aliyefahamika kwa jina la Ivan Bebeto amekamatwa na Polisi akidaiwa kuwa amekuwa akijifanya yeye ni mwanamke na kuwatapeli wanaume.

Mwanaume huyo anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Katwe jijini Kampala akidaiwa kuwa hujifanya mwanamke ambapo huvalia mavazi ya kike na kujiweka kama mwanamke kisha kuwatapeli wanaume. Taarifa kutoka nchini humo zimeeleza kuwa mtuhuiwa huyo amekuwa akifanya ujanja huo kwa muda mrefu sasa hasa katika miji ya Nairobi, Kampala na Bujumbura.

Akiwa katika muonekano wa kike, mtuhumiwa huyo hujiita Queen.

Aidha, siku ya tukio hilo alikamatwa baada ya mwanamume mmoja aliyekuwa tayari amekubaliana nae kuanza kumtilia mashaka baada ya Bebeto kukataa kwenda nyumba ya kulala wageni kama walivyokuwa wamekubaliana kabla ya kupewa malipo.

Baada ya hali hiyo, mwanaume huyo ambaye jina lake halikufahamika mara moja alipiga simu Polisi na ndio Bebeto akakamatwa.

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Du miaka miwili tu angefungwa maisha ili asiwaambukize watu wengine

    ReplyDelete
  2. Dah huyo jamaaa anafanana kama yule Zari wa Domo platinumz duh

    ReplyDelete
  3. Safiii! Wangeongezeka kama hao uroho wa midume ungepungua. Hata mdoli wa duka la nguo ukiwa na hips ukipigwa pamba udenda unatoka. Huyo jamaa aachwe huru

    ReplyDelete
  4. Duh!! Lakini ana MGUU, kama MDADA kweli!!!

    ReplyDelete
  5. Wewe hapo annoy 9.55 kafanana na mama yako mzazi

    ReplyDelete
  6. Ulosema kafanana na Zari mimi nafikiri kafanana na mkundu wa baba ako.na kuma la mama ako

    ReplyDelete
  7. Mungu atuhurumie maana muonekano wake ni kama binti jamani!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. MIDUME NAYENYEWE IMEZIDI.WAMUACHE TU HUYO JAMAA ASEPE. MAISHA MAGUMU, ALIKUWA ANAJIONGEZA.

      Delete
  8. hizo picha mbili za hapo chini jamaa kaonekana kama kajipaka tope kumbe ni poda

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad