Rais Magufuli Ampongeza Donald Trump Kwa Kushinda Kiti cha Urais Wa Marekani

Leo November 9, 2016 Marekani imeweka historia nyingine baada Donald Trump wa chama cha Republican kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais, na tayari ameanza kupokea pongezi kutoka kwa viongozi wa nchi mbalimbali ikiwemo Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.

Rais Magufuli ametoa pongezi zake kwa Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake Twitter

Congratulation President-Elect and people of America for a democratic election,I assure and people of Tanzania for a continued friendship.
— Dr John Magufuli (@MagufuliJP) November 9, 2016

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nawapenda wamerican kwa kuthamini demokrasia toka kwenye vyama vyao hadi uchaguzi mkuu
    Tanzania Kama tungefuata demokrasia toka kwenye vyama vyetu hadi uchaguzi mkuu
    Magufuli asingekuwa rais
    Kachaguliwa kwa mizwengwe
    Pamoja anafanya kazi nzuri

    ReplyDelete
  2. TRUMPH karibu tz uje usarambatishe democracy giza l

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad