Rais John Magufuli ameeleza sababu za kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kuwa ilitokana na bodi hiyo kuidhinisha mamlaka hiyo kuweka mabilioni ya fedha kwenye benki binafsi
Novemba 20 mwaka huu Rais Magufuli alitengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi hiyo, Bernard Mchomvu na kuivunja hiyo bila kueleza sababu zozote.
Akizungumza leo wakati wa sherehe za mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani, Rais Magufuli amesema kuwa TRA walichukuwa fedha mabilioni na kuweka fixed account benki 8 binafsi na bodi ikaidhinisha.
TAZAMA HAPA VIDEO:
Piga chini watu wote hao.Kila siku fikra za watu ni wizi,wizi,wizi. Haya mambo yataisha lini Nchi hiiii?????
ReplyDeleteMbona body pekee imewajibishwa hata viongozi WA tra nao inafaa wawajibishwe
ReplyDeleteHongera baba. Hatua zako zote ni kwa masilahi ya Nchi na Wananchi, Mungu akulinde na akupe afya na umuri mreu utunyooshee na kuirudisha katika mstari.. Nia yako ni njema na inaonekanana.. Hapa Kazi Tu.
ReplyDeleteHongera baba. Hatua zako zote ni kwa masilahi ya Nchi na Wananchi, Mungu akulinde na akupe afya na umuri mreu utunyooshee na kuirudisha katika mstari.. Nia yako ni njema na inaonekanana.. Hapa Kazi Tu.
ReplyDeleteJamani wapiga DILI .HII AWAMU IMEICHUKIA DILI. KAENI CHONJO SAA MBAYA..MAGU NI BALAA..HAMUONEI MTU HAYA..MTAUMIA QAPIGA DILI MPAKA NARENDRA MODI KAMUIGA MAGU.HIVI SASA INDIA KIMENUKA KWA HIYO HAPA NYUMBANI MSAHAU DILI..MAGU HAJACHOKA YUKO FITI. NA HANGOJI HABARI OFISINI.NI JEMBE LA MAJIRA YOTE...HAPA KAZI TU
ReplyDeleteJamani wapiga DILI .HII AWAMU IMEICHUKIA DILI. KAENI CHONJO SAA MBAYA..MAGU NI BALAA..HAMUONEI MTU HAYA..MTAUMIA WAPIGA DILI MPAKA NARENDRA MODI KAMUIGA MAGU.HIVI SASA INDIA KIMENUKA KWA HIYO HAPA NYUMBANI MSAHAU DILI..MAGU HAJACHOKA YUKO FITI. NA HANGOJI HABARI OFISINI.NI JEMBE LA MAJIRA YOTE..TUMUOMBEE MUNGU AMLINDE NA TUMPE USHIRIKIANO NA SAPOTI YETU WAKATI WOTE MPAKA A IRUDISHE NCHI KATIKA MSTARI NA KUINYOOSHA IPASAVYO .HAPA KAZI TU
ReplyDeleteThe African Leadership Game Changer..Corruption. Effective leadership. achievement performance driven and micromanagment ..country overall economy. creation of jobs. education. health infrastructure and money management and development is what you focus on with close personal follow up...MUNGU AKULINDE NA WAZOEA DILI WAKATI YA SEEIKALI ZA HEWA..HAPA KAZI TU NA VIONGOZI WENGINE DUNIANI WAMECHUKUA UTENDAJI WAKO KUWA NI SOMO NA WAMEANZISHA KATIKA MCHI ZAO. IKIWEMO INDIA KWA SASA NA NCHI MBILI ZINGINE
ReplyDeleteKutuletea Tanzania mpya tunahitaji kiongozi huyu na watakao fata wawe na kasi hii au zaidi.but remember MAGU anatengeneza mazingira elekevu..ni wajibu wetu wote tumpe sapoti na ushirikiano wa karibu. Hapa kazi tu
ReplyDeleteTena hawa TRA inabidi waangaliwe upya utendaji wa kazi zao, maana wapo kama kumkomoa mwananchi na serikali yao, hivi wewe hujaenda kutathmini biashara ya mtu unakaa ofisini unaamua tu biashara fulani Tsh. kadhaa kwa kusoma tu kitabu cha kodi! hujui kama biashara ya mtu huyu iko vipi na katika mazingira yapi!!? unaamua tu. Acheni hizo.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu Mkubwa..tumtukuze na kumuhimidi na kumshukuru.
ReplyDeleteKatuletea JPM RAISI MSIKIVU NA MZALENDO MWENYE KUIPENDA NCHI YAKE.
YOTE TULIYO SEMA HAPPO AMEYATATUA.
ALLAH AKUHIFADHI NA KUKULINDA.