Rapper wa Kike Chemical Adai yeye Bado ni Bikra Hajawahi Guswa na Mwanaume

Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu azaliwe).

Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha D'WIKEND CHATSHOW kinachorushwa kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(ulesbian).

Vilevile ameongezea, yeye hana gharama kabisa, kwasababu hatumii mavitu ya gharama kama wadada wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia, na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa mjini wamekuwa wakitumia.

Pichani msanii chemical akiwa na msanii mwezake wa bongo muvi bibie wema sepetu
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nahao wakusagana na huyu atakua loosers si wanawake wenye elimu na maisha yao nawatakua hawajitambui kama yeye asivyojitambua.

    ReplyDelete
  2. Mbona picha ya Wema Sepetu?.au ili muradi mumuumbue Miss Tanzania?

    ReplyDelete
  3. HUYO RAPA UCHAFU HAKUNA NA PICHA ZAKWAKE MWENYEWE MPAKA MNAMWEKA NA DADA WEMA ILI AONEKANE NINYI UDAKU MNAKUAGA MAKUMAA KWELI KWELI KIONE KILIVYO KICHAFU KAMA KIHAOUSEGIRL

    ReplyDelete
  4. WEMA NAE ANAKOSAGA WATU WAKUA NAO SASA HUYU MBUZI NIWAKUOIGA NAE PICHA NDO AMANA WATU WANAMTUKANA HAJITAMBUI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad