Rufaa ya Godbless Lema Yagonga Mwamba Leo Tena...Arudishwa Selo


Rufaa ya mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema iliyopangwa kutolewa leo imeshindikana baada upande wa Jamhuri kuweka pingamizi ya kuwasilisha notisi badala ya rufaa, ambapo Mbunge huyo amerudishwa rumande kwa mara nne.


Upande wa Jamhuri ambao ulikuwa ukiwakilishwa na mwanasheria Matenus J Marandu ambaye amesema wamefanya hivyo ili kuharakisha na wamekubaliana na pande zote mbili.


Wakili wa Chadema Peter Kibatala amesema wameshakamilisha taratibu za kisheria kuhusiana na pingamizi hilo na wanasubiri pingamizi hilo lililowekwa na upande wa serikali.


Jaji aliyekuwa akisikiliza pingamizi hilo Fatma Masengi ameelekeza upande wa serikali wawasilishe hoja zao kwa njia ya maandishi kabla ya November 30 ili aweze kutolea uamuzi December 2 mwaka huu.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mteseni lakini nyinyi SIO MUNGU, mtalipa TU SIKU moja

    ReplyDelete
    Replies
    1. anateswa au anajitesa mwenyewe
      maneno yake yamemponza

      Delete
  2. Mwiba wa kujitakia wala huambiwi Pole Dogo... Tena pole Sana na Ujirekebishe. Wewe hata Shule ulikuwa vile vile.. Hata sijui Dili gani ilikupeleka Kwenye Uhai. Je uko Hai? Hujulikani hata Kiki za mitandao unaboa Dogo. Unaona sifa Kula sembe yetu kiulaini.. Na malazi pia Bure? Unaona laha.. Tutaanza kukulipisheni.. Kula na Kulala itakuwa kwa malipo ... Hamna kula bila Kazi... HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  3. Mwiba wa kujitakia wala huambiwi Pole Dogo... Tena pole Sana na Ujirekebishe. Wewe hata Shule ulikuwa vile vile.. Hata sijui Dili gani ilikupeleka Kwenye Uhai. Je uko Hai? Hujulikani hata Kiki za mitandao unaboa Dogo. Unaona sifa Kula sembe yetu kiulaini.. Na malazi pia Bure? Unaona laha.. Tutaanza kukulipisheni.. Kula na Kulala itakuwa kwa malipo ... Hamna kula bila Kazi... HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  4. kweli apa kazi tuu

    ReplyDelete
  5. Nyinyi hapo juu mnaotoa pumba kama wajinga kabisa inabidi mrudi shule mkasome. Hakuna kitu kibaya na cha hatari duniani kama ujinga usiofundishika. Unaua. Nawote watoa utumbo hapo ni wajinga kupindumia. Wamesomea mitini na hawana lolote. Taifa limelea wajinga miaka ishirini. Itakuwa vigumu sana kulikomboa taifa letu. Itachumua miaka mingi na inatia haya. Kufikiri ni shida kwa wengi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad