Mwanadada Diva aliweza ku tweet kuhusiana na uwezo wa alikiba katika kuimba na kumalizia kuwa “Girlfriend anakutia gundu” kitu ambacho wengi walijiuliza inamaana Jokate (Kama inavyo julikana kuwa ndiye wa Kiba) kuwa anamtia gundu?
Leo Mrembo Gigy_Money amejitokeaza na kupost picha hii hapa chini na kuandika maneno ya kumtetea Jokate:
"Honestly jojo wangu mtoto classic uyu 😍wache waseme unagundu ila mwisho wa siku watakuelewa tu kwa mafanikio yako hadi unafikia umri wao yani we utakua Michael Jackson wa kike unajituma mwaya #USIFORCETUFANANE #HATUFANANI" Gigy Money
Kusema ukweli Jokate na Kiba wanapendezana na wako murua kabisa,wacha watu watokwe na mapovu,Jokate akisha kuwa na mtu wake hanaga tamaaa ya kutaka kuhongwa kwani ni mpiganaji kwenye kutafuta,ndio maana hana michepuko.
ReplyDeleteMchepuko au michepuko ni tabia ya mtu na siyo sababu ya mtu kuwa na hela ndiko kunakomfanya mtu hasichepuke kwani wapo mademu wengi wana uwezo kipesa na wapo katika ndoa au mahusiano lakini bado wanatafuta mwanaume au mwanamke nje wa kuchepuka naye kwa hiyo hiyo point yako ya kuwa mtu akiwa na pesa hachepuki"IT'S NOT A DEAL"
DeleteNakubaliana nawe mdau jojo anajitambua sio mshamba amependeza sana na king kiba
ReplyDeleteDiva si ana nyenge mara ya mwisho ku kanyangwa na Jamaa wa East Coast ilikua long time sasa anahamu na Kiba amwagie shahawa...
ReplyDeletezamani nilikuwa namchukia Gigy Money sababu za picha zake za utupu, lakini sasa hivi namfagilia sababu yeye anaishi maisha yake bila kumuogopa mtu na hivyo ndivyo inavyotakiwa maana mtu ukiishi kwa kumuogopa mtu watu watakukandamiza, endelea na shughuli zako Gigy kwani maisha ni yako
ReplyDelete