Sakata la Diva Kudai Jokate ni Gundu Kwa Ali Kiba..Gigy Money Afunguka Haya


Mwanadada Diva aliweza ku tweet kuhusiana na uwezo wa alikiba katika kuimba na kumalizia kuwa “Girlfriend anakutia gundu” kitu ambacho wengi walijiuliza inamaana Jokate (Kama inavyo julikana kuwa ndiye wa Kiba) kuwa anamtia gundu?

Leo Mrembo Gigy_Money amejitokeaza na kupost picha hii hapa chini na kuandika maneno ya kumtetea Jokate:

"Honestly jojo wangu mtoto classic uyu 😍wache waseme unagundu ila mwisho wa siku watakuelewa tu kwa mafanikio yako hadi unafikia umri wao yani we utakua Michael Jackson wa kike unajituma mwaya #USIFORCETUFANANE #HATUFANANI" Gigy Money
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kusema ukweli Jokate na Kiba wanapendezana na wako murua kabisa,wacha watu watokwe na mapovu,Jokate akisha kuwa na mtu wake hanaga tamaaa ya kutaka kuhongwa kwani ni mpiganaji kwenye kutafuta,ndio maana hana michepuko.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mchepuko au michepuko ni tabia ya mtu na siyo sababu ya mtu kuwa na hela ndiko kunakomfanya mtu hasichepuke kwani wapo mademu wengi wana uwezo kipesa na wapo katika ndoa au mahusiano lakini bado wanatafuta mwanaume au mwanamke nje wa kuchepuka naye kwa hiyo hiyo point yako ya kuwa mtu akiwa na pesa hachepuki"IT'S NOT A DEAL"

      Delete
  2. Nakubaliana nawe mdau jojo anajitambua sio mshamba amependeza sana na king kiba

    ReplyDelete
  3. Diva si ana nyenge mara ya mwisho ku kanyangwa na Jamaa wa East Coast ilikua long time sasa anahamu na Kiba amwagie shahawa...

    ReplyDelete
  4. zamani nilikuwa namchukia Gigy Money sababu za picha zake za utupu, lakini sasa hivi namfagilia sababu yeye anaishi maisha yake bila kumuogopa mtu na hivyo ndivyo inavyotakiwa maana mtu ukiishi kwa kumuogopa mtu watu watakukandamiza, endelea na shughuli zako Gigy kwani maisha ni yako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad