SIKILIZA Wimbo Mpya wa Rich Mavoko Aliyomshirikisha Diamond Platnumz

Nyingine kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) ambapo zamu hii Rich Mavoko amemshirikisha Diamond Platnumz kwenye wimbo unaoitwa Kokoro.

Diamond sasa anakuwa amefanya nyimbo na wasanii wake wote wa WCB ambapo awali alianza kufanya wimbo na Harmonize unaoitwa Bado, kisha akafanya Salome aliyomshirikisha Rayvanny na sasa ameshirikishwa na Rich Mavoko.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyimbo mbaya sana.this time wameingia choo cha magay.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad