U Heard: Kilichotokea Kwenye Familia ya Calisah Baada ya Video yake na Wema Kuvuja

November  14 2016 kwenye U Heard ya Soudy Brown amezungumza na Calisah kuhusu video iliyomuonesha yeye akiwa na  staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu wakikiss, Calisah amesema baada ya video hiyo kuvuja, bibi yake alipoambiwa kwa sababu alikuwa anamtetea sana Calisah alipata mshituko na kufariki……

’Hayo mambo yamesababisha mpaka nimepoteza mtu, amepata presha amefariki leo, siko sawa kabisa imenicost sana hata siwezi kuongea nimepoteza bibi yangu kwa sababu ya hivi vitu imeniumiza sana halafu mimi sijafanya hivyo vitu nivujishe video ili iweje‘ ;-Calisah

Kupata Full Stori, Bonyeza play hapa chini

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh,bibi kaumizwa mpaka katangulia mbele ya haki.R.I.P.
    Ukute Kilichomuumiza zaidi bibi kusikia mjukuu ana............
    na mwanamke ambae ni tifutifu sanaaaaa,kila m...kaonja.

    ReplyDelete
  2. Hakuna lolote .hiyo ni mojawapo ya sanaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad