Video imevuja ya mwadada Sepenga akifanya yake ,juzi kati alihojiwa juu ya mahusiano yake na Calisah alimkana akasema ni rafiki na hawajawahi fanya lolote, sasa leo Video imevuja huko instagram kila page inatembea anakiss na huyu dogo,huyu ndio Wema sepetu sasa sijui lini atatulia na kuacha mambo ya Skendo..
BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO
Kulana Denda sio tatizo lakini je wamepimaaaa?????? Maradhi mengi jamani UKIMWI(HIV/AIDS), HERPES,HEPATITIS,SYPHILIS na magonjwa mengine mengi tu yanayoambukizwa kwa njia ya ngono. Ndugu zangu hakikisheni mko sawa KIAFYA kabla ya ku post maujinga yenu hayo dah
ReplyDeleteWema tulia ndiyo maana watu wanakuita malaya hata kama wewe ni mtu mzima lakini haipendezi kubadilisha wanaume kila kukicha ndiyo maana watu wanakusema vibaya na ndiyo maana watu wanamtukana mpaka mama yako sababu wanaona mama yako alikulea vibaya
ReplyDeleteNi kweli kabisa wema mdogo wangu jaribu kubadilika hivi unajisikiaje kila ukiamka unakuta skendo zako magazetini??!! huna haya wewe!! halafu star daaa!!! kweli unatia kinyaa sana na hao wanaume nao malimbukeni kwelikweli wanaokufuata wewe au unawahonga sana???Badilika please iga dada zako mastar wana hela lakini wametulia. Mama yako hana makosa lakini anatukanwa sababu ya vituko vyako
ReplyDeleteSAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI AKIKAUKA DONE BLEW U SHIT"
ReplyDeleteMagazeti yanapenda kuuza kwa jina lake tumeshtuka
ReplyDeleteDa ingekuwa ndiyo mimi nimerekodiwa na mtu nikifanya uchafu huo yaani ningepata dipresheni mbaya ambayo hata dawa ingeshindwa kunitibu maana ni aibu na pia ni uzalilishaji wa hali ya juu pia ni aibu kwa ndugu na mzazi kuona mtoto wake anazalilishwa namna hiyo pia ni aibu kwa mzazi kuona mwanae anapatwa kirahisi namna hiyo mama sasa asije mama yake kulalamika eti mwanae anatukanwa kwenye mitandao ya kijamii wakati ni huyo mwanae anajizalilisha mwenyewe yaani ni aibu mbaya sana na aunt ezekiel amefanya vizuri kukaa mbali nae alipopata mtoto maana wema asikae karibu na watoto sababu atawafundisha tabia mbaya
ReplyDeleteWema ukiwa unaingia hotel na mwanaume usinywe pombe kupita kiasi ndiyo pombe inakufanya usiwe makini mpaka mtu usiyemjua vizuri anakurekodi na baadaye anakuja kukuzalilisha kwenye mitandao ya kijamii ona sasa matokeo yale ni bonge la aibu kwako kwa ndugu pia na marafiki hata muna naona anakucheka ile mbaya maana ni aibu kuona mtu anazalilishwa namna hiyo tena kwenye mitandao haiwezi kufutika mpaka ukipata watoto maisha ya baadaye watakuja kuona jinsi mama yake alivyozalilishwa kirahisi na wanaume ushauri wangu kwako kaa mbali na wanaume angarau kwa muda na pia baadaye usikubali kuwa iwe rahisi wanaume kukupata ni heri usubiri mpaka ukiwa tayari kuolewa na kupata watoto ndiyo utafute mwanaume lakini kama hujapanga hivyo ni heri ukae mwenyewr bila mwanaume sababu hao wanakuharibia sifa na kukuzalilisha na kukutumia makusudi sio kwa bahati mbaya
ReplyDeleteLABDA KUNA TUZO LA MWANAMKE STAR ALIETEMBEA NA WANAUME WENGI KWA MWAKA.
ReplyDeleteKWA HIYO WEMA NA GIGGY MONEY MPAKA SASA MUKO SAWA.BIDII ZENU KUWANIA USHINDI MWAKA UNAISHA.
Wema kumbe ukivua mawigi ndio uko hivyo hahahahahaha
ReplyDelete