Video:Idris Sultan Amkacha Wema Sepetu Kweupee...Wema Atamani Kulia

Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye taharuki na kupigwa mshangao hata kujibu maswali kwa wasiwasi...Jionee mwenyewe.
Tazama Video:

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. uongo na unafiki tuu.

    ReplyDelete
  2. Bila wema habari haziuziki

    ReplyDelete
  3. Huyo mtoto anazeeeeeka dah mpaka basi tena kwa kweli Magufuli amejua kuwakomesha vibaya sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad