WAFUASI wa CUF Wavamia Makao Makuu ya Chama Zanzibar

MTENDENI, ZANZIBAR: Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar leo wamevamia Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo eneo la Mtendeni visiwani humo wakitaka kufahamu hatma ya maamuzi yao ya Okt 25, 2015, ambapo chama hicho kinadai kilishinda uchaguzi kabla ya kufutwa.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa CUF wamepitwa n.a. wakati tafuteni kazi mfanye jamaniiii umaskini wote mliokuwa nao bado mpo na. mabango na mambo ya siasa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad