Wema Sepetu Ampongeza Ommy Dimpoz


Baada ya hapo jana Ommy Dimpoz kufunguka kiundani kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kwa kuelezea kilichopelekea akosane na rafiki yake wa zamani, Diamond Platnumz – Wema Sepetu amempongeza kwa kile alichokifanya.

Malkia huyo wa filamu nchini, amempongeza hitmaker huyo wa Kajiandae kwa kumsifia kuwa ni mpole na mwenye busara ila alipenda kile alichokifanya kwenye mahojiano yake hayo.

Kupitia mtandao wa Instagram, Wema ameandika.

Busara, Upole, Hekma… Thats wat u r made of… Im very very Proud and Impressed kwakweli… Mnyonge mnyongeni haki yaki mpeni… Sasa sio mje muanze kusema sijui napick sides… Nooooo…!!! Sina side maana na mimi pia ni outsider tu… But kwa leo nimependa ulichofanya Ommy…. Forever Bae… 👌🏽Sometimes being the bigger person doesnt hurt… @ommydimpoz
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ommy piga kazi achana na diamond, nahisi anataka awe peke yake katika game! nyimbo zako ni nzuri sana zina tune ya kipekee kabisa, mara ya kwanza kusikia nyimbo zako nilifikiri ni mtu wa taifa jingine! fanya kazi achana na wanaotaka kuua kipaji chako. Sasa yeye wema anamuuma nini, kila anaekuwa nae anapagawa!! amuoe basi tujue moja!! Wema na Idris ndiyo wanapendezana sana na siyo yeye. Period

    ReplyDelete
  2. wema tulia tumeshakuchoka umefulia nenda zako huko

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad