Wema Sepetu 'Me I dont Deal With Washamba, Nilijua Muna Alikuwa Mshamba Alivyokuja ila Nikaweka Ustaa Pembeni na Kumkubali'

Wema Sepetu Akihojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu beef lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja na kuuruhusu akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea....

'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'


Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Makubwa we star nyoooo wann sasa, ujinga tu

    ReplyDelete
  2. Wema siku hz umechokaaa huna jipya yani hovyooo...hutetemeshi wala....mi nikikuwa shabiki wako die hard fan lakn sasa ptuuuuuu....woiiii...misjendo na mijibizano kwenye insta yani umekuwa sooo low....

    ReplyDelete
  3. kwelikabisaa usemayo Muna hata kuandika kiswahili hajui itakuwa kuvaa! ni ushamba ulopitiliza.

    ReplyDelete
  4. Wema hapo umeongea ni kweli Muna ni lishamba nilikuwa naliona akiwa na wewe na mama yako lilikuwa kimya tuu wala haliongei kitu utafikiri ni bubu na kweli Muna lishamba mimi nilijiuliza kila mara kwa nini Wema yupo rafiki na bubu ambaye haongei wakati Wema anaweza kuwa rafiki na warembo wa mjini kama yeye

    ReplyDelete
  5. Wema sema utakacho,fanya utakacho usipate wazimu kwa kuwafurahisha watu. Nyota yako bado inangàa uzuri unao kazi unafanya. ndo maana walamba ndimu wanakuponda.

    ReplyDelete
  6. mbona naona wote sawa au!!

    ReplyDelete
  7. usilinganshe jogoo la shamba na mjini. hayawani mkubwa!

    ReplyDelete
  8. Vigodoro.. wote

    ReplyDelete
  9. SASA WEMA NA MUNA WANATOFAUTI GANI HUYO WEMA KAFULIA HATA USAFILI HANA

    ReplyDelete
  10. hivi wema akiwa Star kina Bonang Matheba wajiite kina nani?

    ReplyDelete
  11. HIVI WEMA ANA NYUMBA, NA KAJENGA WAPI? NA KAMA HANA NYUMBA HUYO SIO STAR

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad