ALIKIBA Kaamua Kabisa Kuingia Studio na Mwanamuziki Vyonne Chaka Chaka Baada ya Kukutana


Alikiba ndani ya Studio nchini South Africa. ...Akipika Ngoma na Mama wa Muziki Africa...Yvonne ChakaChaka..!!
Unahis Ngoma itakuwaje? ?? Hapa kingkiba pale Mama ChakaChaka. ..toa utabiri wako hapa👇
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. itakuwa bonge la ngoma gani na huyu Alikiba anataka kujiharibia tena kiki zimemzidi mpaka anafikia kufanya ngoma na bibi ambaye alitamba zamani sio sasa hivi na tulishaanza kumsahau Alikiba anataka kuharibu kama Christian bela alivyofanya kolabo na Koffi olomide akafikiri itakuwa ngoma kali kumbe wapi wala hatutaki kuisikia, nyie vijana fanyeni yenu msiwaingize wazee kwenye bongo flava ama sivyo mnaharibu bongo flava yetu tunayoipenda

    ReplyDelete
    Replies
    1. UNAONGEA UPUUZI WEWE, HATA MUZIKI HUJUI ILA UNAFATA MKUMBO.. IMBA WEWE BASI TUKUONE

      Delete
    2. Wewe kavu kishenzi bila ya wazee ungekuwepo duniani au ili mradi tu una hiyo torch yako fake ya mchina uonekane mtandaoni

      Delete
    3. mama chaka chaka ni bibi, Alikiba usiimbe na bibi unatuangusha tunataka kuona vijana katika video hatutaki kuona akina bibi kama tukitaka kuwaona akina bibi huwa tunaingia you tube kuona zilizopendwa, lakini kwa wakati huu huwa tunaangalia zinazobamba, na wewe mdau hapo juu uliyeandika sijui nini tochi ya mchina mimi niko majuu nikitaka kutumia tochi natumia original sio kama nyie huko bongo kila kitu mchina mpaka Adidas mchina sisi huku majuu kila kitu ni original

      Delete
  2. Huyu jamaa ni kiazi kweli,yeye nyumbani hana wazee???

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau hapo juu unauliza kama nyumbani sina wazee nyumbani kuna kibibi kizee ambacho ni mama yangu na wala sina mpango nae wala sina mawasiliano nae mimi naongea na vijana wenzangu tu

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad