BELLE 9 Atoa Wimbo Mpya Akimshirikisha G Nako....Nimekuwekea Hapa Video Uitazame

Tunaofatilia bongofleva toka kitambo tunamfahamu Belle 9, ni mkali mwingine kutoka Morogoro ambapo leo hii ameshirikiana na G Nako kutuletea burudani mpya iitwayo ‘give it to me’ na ukishamaliza kuitazama hii video usiache kusema chochote kwenye comment



ULIPITWA? LULU AMEACHWA NA MAJAY AWA MKALI BAADA YA KUULIZWA

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbayaaaaaaa labda sababu wasanii wote hao wa2 siwapendi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad