Beauty With A Purpose huhusisha miradi mbalimbali ya kijamii ambayo hufanywa na washiriki wa Miss World. Diana amewasilisha documentary ya masuala ya ukeketaji kwenye jamii ya watu wa Masai.
Fainali za Miss World mwaka zitafanyika December 18, nchini Marekani.
Pamoja na Diana kuonesha kufanya vizuri, tangu atawazwe kuwa Miss Tanzania mwaka huu, amekuwa akipokea maneno hasi.
“I’m not beautiful Yes,I’m not focused Yes,I’m in a vacation Yes,I’m dumb Yes,I’m not up todate Yes. Who knows tomorrow ONLY God can determine your future.Thanks for those who have been and still voting for me and supporting me no matter how much Haters are pushing me back you guys are still holding my hand and lift me up,” ameandika kwenye Instagram.
“Good News My Beauty with a Purpose Documentary for Masai Dondosha Wembe has shined again to TOP 20 waiting for the TOP position and has been said ever since there has never been such a wonderful message to the beauty pageant history of Miss World.Please Keep on voting for your Tanzania’s Best Kept Secret Princess Diana,I love myself though. One rule I was born to shade tears to fight and to become a champion,” ameongeza.
Watanzania hacheni fitina za kijinga tumsapoti mwenzetu.hubu badirikeni hacheni uswahili
ReplyDeleteYES GOD KNOWS DEAR TUPO NYUMA YAKO MUNGU ATATENDA!!!
ReplyDeleteUtashinda !!!!
ReplyDeleteKuna washenzi Flani Instagram kwakua wana visa na Mange Kimambi basi Uki koment kwa mange wee adui...Ndio wanao mkatisha tamaa huyo miss Tanzania....Acheni hizo Nyie mnao hangaika na maisha ya watu....Tumsaport miss wetu
ReplyDelete
ReplyDeleteNimekupenda bure binti yangu, kuwa real you my, wanataka ukajiongeze hips ziwe kama kabati au uvae nywele za wabrazil? U are pretty, very prety my, tunakuombea nyota yako ing'are mara 79. Peperusha bendera ya tanzania. 'masai dondosha wembe, tanzania dondosha wembe, afrika dondosha wembe' makofi kwako barikiwa sana