Kutenguliwa kwake kumekuja siku moja tu baada ya kuzungumza na waandishi na kudai kuwepo kwa virusi vya Zika nchini. Alisema kati ya watu 533 waliopimwa wakati wa utafiti walioufanya, asilimia 15.6 waligunduliwa kuwa na virusi hivyo. Taarifa yake, ilikuja kukanushwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.
Akijibu tweet iliyosema, ” Pole sana @mwelentuli safari yako na isonge mbele Dada,” Dr Mwele amesema, “Ahsante na itasonga kwa msaada wa Mungu.”
Tweet nyingine alijibu: Ahsante Mathew. Nilipewa dhamana nimetumikia ninamshukuru Mungu kwa nafasi ya kutumikia WaTanzania kupitia utafiti.”
Na mtakufa sana mwaka huu mnabishana na watafiti ambao ni wataalamu.
ReplyDeleteMuwe mna hakiki habari kabla hamjazitoa. Hiyo picha ina uhusiano gani na hii habari????
ReplyDeleteNdo uandishi wa kitanzania huu hakuna taaluma
DeleteWafanyakazi wa serikali kuweni makini na hiki kijamaa hakitaki mchezo na kazi
ReplyDeleteTaaluma ya kweli huwa haidanganyi. Taaluma siyo siasa. Tukae na tusubiri. Wanataaluma wameshasema.
ReplyDelete