DULLY Sykes Awa Mkali Baada ya Kuulizwa Kuhusu Bifu la Ommy Dimpoz na Diamond

Msanii Dully sykes alimind watangazaji waliokuwa wanamhoji baada ya kumuuliza kuhusu bifu la diamond na ommy dimpoz
Dully amesema hawezi kujibu hilo sababu huo ni u-shilawadu na yeye hapendi na ukizingatia wale ni 'wadogo zake' VIDEO:

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mr dully unaasira mbaya

    ReplyDelete
  2. Huna mpango kaka uchwara wewe kama unavyojidai kuwa ni kaka yao unaowajali kweli wadogo zako inatakiwa uwaitecna kuwaweka chini ili kujaribu kuumaliza huo mgogoro wao huo kabla hawajafikia pabaya

    ReplyDelete
  3. Wakuitwa chini na Duly na kuongea nae nani hapo ukaka katika mziki tu lakiniki mtazamo wako unafikiri Diomond na dharau zake anaweza kukaa na Duly nakumsikiliza ushauri....watu wazima wale waache wagombane kwani lazima kapata na nakila mtu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad