EXCLUSIVE: ‘Ukweli sina mimba, nilifanya vile kwa sababu’ Nisha Bebee

Siku za karibuni staa wa bongo movie Salma Jabu maarufu Nisha bebee alionkana kuwa ni mjamzito kwa madai kuwa alipata mimba hiyo mara baada ya kubakwa, leo amekubali kukaa na Ayo TV katika exclusive interview na kuelezea ukweli kuwa hana mimba badi alifanya vile kwa sababu alizozitaja hapa kwenye hii video... 

VIDEO:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh!!...weye ni balaaa,yaani kwa maelezo hayo nimekuelewe wewe ni super actres.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad