HARMONIZE Anunua Kiwanja, Ajipanga Kushusha Ghorofa Hili Hapa...


Mwanamuziki Harmonize aliyoko chini ya lebo ya Muziki ya WCB Ameweka picha katika mtandao wake wa Instagram akionyesha kiwanja alichonunua na ramani ya mjengo wa Gorofa anaopanga kuujenga hivi karibuni....
Pichani akiwa na mama yake na madalali wa kiwanja hicho..
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tunataka vitendo sio mnabandika mipicha

    ReplyDelete
  2. du watu wengine kwa kujisifia hawezi kujenga mjengo kama huo hapo labda ni ndoto yake

    ReplyDelete
  3. Kila kitu huanza na ndoto hata mbuyu ulianza kama mchicha kaza dogo

    ReplyDelete
  4. ataushusha huo mjengo kutoka mbinguni ama?wabongo bana kuongea huwaga rahisi sana kuliko kutekeleza, ndiyo maana wabongo hawaendelei, tungewaiga wenzetu wazungu huwa wanaonyesha kitu kikishatokea siyo kabla ya kutokea

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad