HATIMAYE Anayedaiwa Kutumia Akaunti ya @shilolekiuno_official Kutukana Watu Atupwa Segerea


Hatimaye anayedaiwa kutumia akaunti ya @shilolekiuno_official atupwa Segerea baada ya kukosa dhamana katika Mahakama ya Kinondoni Mapema jana👌👌👌👌👌sasa mjihadhali na MAPOVU yasiyo kuwa na lugha za kistaarabu huko Instagram vinginevyo mtaishia Ukonga au Segerea👌👌👌

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa watu wakikamatwaga sijui huwa wanaonekana vipi usoni

    ReplyDelete
  2. huwa wanaonekana usoni kama alama ya kuuliza

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad