HATIMAYE: Mmiliki wa Jamii Forums Atoka Selo Baada ya Kupatiwa Dhamana leo


Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kukaa mahabusu kwa takribani siku 7.

Anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa nchini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad