Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema ataingia Ikulu baada ya miaka minne ijayo na rafiki yake T.B Joshua amemtabiria kuwa Serikali ijayo itaongozwa na Chadema.
Lowassa, ambaye alishika nafasi ya pili katika kinyang’anyiro cha urais mwaka jana, ameshaonyesha nia ya kuingia tena kwenye mpambano huo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Akizungumza na viongozi na wanachama wa Chadema mkoani hapa, waziri huyo mkuu wa zamani alisema ana uhakika wa kuingia Ikulu bila ya umwagaji wa damu.
haya baba endelea kuliwa pesa
ReplyDeletetb joshua hato kupa ushindi ni wananchi tuu
Haya mzee.T.B.Joshua alitabiri na marekani
ReplyDeleteMTEGEMEE MUNGU .HUYO JB HANA LOLOTE.YEYE NI KIUMBE TU.AJITABIRIE KESHO ATAKULA NINI? ATAKUWA NA AFYA GANI?NA ATAKUTANA NA NANI.BILA YA KUJIPANGIA,
ReplyDeleteAkutabirie kwanza kama CDM watakuuzia tena
ReplyDeleteINAWEZEKANA KABISA MKUU NCHI KUONGOZWA NA CHAMA KINGINE,ILA KAMA UTAENDELEA KUWA WEWE MGOMBEA KWA TIKETI YA CHADEMA BASI TUTEGEMEE NCHI KUENDELEA KUTAWALIWA NA CCM.au ACT WAZALENDO.HATA MIMI NATABIRI.
ReplyDelete