LOWASSA Aja na Mpya...Adai T.B Joshua Ameitabiria Ushindi Chadema

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema ataingia Ikulu baada ya miaka minne ijayo na rafiki yake T.B Joshua amemtabiria kuwa Serikali ijayo itaongozwa na Chadema.

Lowassa, ambaye alishika nafasi ya pili katika kinyang’anyiro cha urais mwaka jana, ameshaonyesha nia ya kuingia tena kwenye mpambano huo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Akizungumza na viongozi na wanachama wa Chadema mkoani hapa, waziri huyo mkuu wa zamani alisema ana uhakika wa kuingia Ikulu bila ya umwagaji wa damu.

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haya baba endelea kuliwa pesa
    tb joshua hato kupa ushindi ni wananchi tuu

    ReplyDelete
  2. Haya mzee.T.B.Joshua alitabiri na marekani

    ReplyDelete
  3. MTEGEMEE MUNGU .HUYO JB HANA LOLOTE.YEYE NI KIUMBE TU.AJITABIRIE KESHO ATAKULA NINI? ATAKUWA NA AFYA GANI?NA ATAKUTANA NA NANI.BILA YA KUJIPANGIA,

    ReplyDelete
  4. Akutabirie kwanza kama CDM watakuuzia tena

    ReplyDelete
  5. INAWEZEKANA KABISA MKUU NCHI KUONGOZWA NA CHAMA KINGINE,ILA KAMA UTAENDELEA KUWA WEWE MGOMBEA KWA TIKETI YA CHADEMA BASI TUTEGEMEE NCHI KUENDELEA KUTAWALIWA NA CCM.au ACT WAZALENDO.HATA MIMI NATABIRI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad