LUKUVI Awataka Shirika la Nyumba NHC Kupunguza Gharama za Uuzaji wa Nyumba zao


Serikali imelipa muda wa miezi 3 Shirika la NHC, likamilishe nyumba zote inazozijenga kwa ajili ya kuwauzia wananchi kwa bei nafuu.

Waziri wa ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa agizo hilo baada ya kutembelea nyumba 50 zinazojengwa na shirika hilo eneo la Buhare katika manispaa ya Musoma.

Hata hivyo Waziri huyo amelitaka Shirika hilo la Nyumba la Taifa kufikiria sasa kupunguza gharama za uuzaji wa nyumba hizo, kwani amesema wananchi wengi wa kipato cha chini wameshindwa kumudu gharama za ununuzi wa nyumba zake kutokana na ukubwa wa gharama hizo.


VIDEO:Ukifumaniwa na Mkeo Mfanyie Hivi tu Atafurahi

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad