LULU Michael Ameachwa na Majay?....Ashindwa Kujibu Swali

Baada ya kuonekana kwenye tuzo akiwa alone na kuulizwa yupo wapi jamaa yake na kuwa mkali, wambea wamedai huenda mrembo huyo ametemwa na jamaa yake huyo, kutokana na yeye ku demand sana uwepo wake kwake wakati jamaa ni mtu wa biashara na anakosa muda wa mapenzi ya ki sekondari na ya show off....Kidding

Tazama Video:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama ameachwa na majai itakuwa whats goes around comes around, labda majai kapata mwingine sababu majai anapenda sana wadada warembo warembo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad