ARUSHA: Mbunge Lema amenyimwa dhamana amerudishwa Magereza ya Kisongo, kesi kusikilizwa tena siku ya Ijumaa, tarehe 16 Desemba 2016.
Inadaiwa kuwa baadhi ya wafuasi waliokusanyika mahakamani kusikiliza kesi hiyo walitawanyishwa kwa mabomu ya machozi.
Wala si kweli! Tuwache kazi zetu kumuangalia Godless..Na polisi Watumie bomu la mchuzi kutawanisha watu kumi nane..Mbona mnazihaki ktk mtandao. Leteni habali za maana!! Au tuwekeeni Ivona na Tausi wa Hemed PHD
ReplyDeleteWala si kweli! Tuwache kazi zetu kumuangalia Godless..Na polisi Watumie bomu la mchuzi kutawanisha watu kumi nane..Mbona mnazihaki ktk mtandao. Leteni habali za maana!! Au tuwekeeni Ivona na Tausi wa Hemed PHD
ReplyDeleteAlaaa.. Kwani hii picha mliotuwekea ni Laivu??? mimi nauliza Laivu au si Laivu. Naona kachoka mvivu..Sema anakula Bure..Na kulala pia. yote anapiga hesabu za nyama choma ya klis masi..Pia bule..WATU WANAMAHESABU MAKALI...sASA HII lAIVU..hENELI KILEWO ULONA LAIVU KWELI
ReplyDeleteAlaaa.. Kwani hii picha mliotuwekea ni Laivu??? mimi nauliza Laivu au si Laivu. Naona kachoka mvivu..Sema anakula Bure..Na kulala pia. yote anapiga hesabu za nyama choma ya klis masi..Pia bule..WATU WANAMAHESABU MAKALI...sASA HII lAIVU..hENELI KILEWO ULIONA LAIVU KWELI11
ReplyDeleteNchi yetu inasikitisha na kukatisha tamaa.
ReplyDeleteTena kabisa Mdau, While Ina umuhimu Sana .manayake hata katika siasa wameingia wapiga dili na kuchafua siasa vilaza tu
Delete