MBUNGE Lema Anyimwa Dhamana Tena Leo....Wafuasi Watawanywa Kwa Mabomu ya Machozi


ARUSHA: Mbunge Lema amenyimwa dhamana amerudishwa Magereza ya Kisongo, kesi kusikilizwa tena siku ya Ijumaa, tarehe 16 Desemba 2016.

Inadaiwa kuwa baadhi ya wafuasi waliokusanyika mahakamani kusikiliza kesi hiyo walitawanyishwa kwa mabomu ya machozi.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wala si kweli! Tuwache kazi zetu kumuangalia Godless..Na polisi Watumie bomu la mchuzi kutawanisha watu kumi nane..Mbona mnazihaki ktk mtandao. Leteni habali za maana!! Au tuwekeeni Ivona na Tausi wa Hemed PHD

    ReplyDelete
  2. Wala si kweli! Tuwache kazi zetu kumuangalia Godless..Na polisi Watumie bomu la mchuzi kutawanisha watu kumi nane..Mbona mnazihaki ktk mtandao. Leteni habali za maana!! Au tuwekeeni Ivona na Tausi wa Hemed PHD

    ReplyDelete
  3. Alaaa.. Kwani hii picha mliotuwekea ni Laivu??? mimi nauliza Laivu au si Laivu. Naona kachoka mvivu..Sema anakula Bure..Na kulala pia. yote anapiga hesabu za nyama choma ya klis masi..Pia bule..WATU WANAMAHESABU MAKALI...sASA HII lAIVU..hENELI KILEWO ULONA LAIVU KWELI

    ReplyDelete
  4. Alaaa.. Kwani hii picha mliotuwekea ni Laivu??? mimi nauliza Laivu au si Laivu. Naona kachoka mvivu..Sema anakula Bure..Na kulala pia. yote anapiga hesabu za nyama choma ya klis masi..Pia bule..WATU WANAMAHESABU MAKALI...sASA HII lAIVU..hENELI KILEWO ULIONA LAIVU KWELI11

    ReplyDelete
  5. Nchi yetu inasikitisha na kukatisha tamaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tena kabisa Mdau, While Ina umuhimu Sana .manayake hata katika siasa wameingia wapiga dili na kuchafua siasa vilaza tu

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad