MWIGIZAJI Nisha Bebee Anywa Mkojo wake ili Amsahau Mwanaume Aliyemuumiza Kimapenzi

Mambo ndo yamefikia Huku, Kule kuumizwa kwa Nisha Bebee na Mwanaume aliyembaka na kumpa ujauzito kumemlazimu Nisha Bebee Kunywa mkojo wake ili Amsahau

Nimekuwekea Video Hapa Akiwa chooni na Kunywa:

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kula na mavi kabisa huko huko chooni

    ReplyDelete
  2. muongo mkubwa huyo hajanywa mkojo wala cha nini na wala hawezi mtu kunusa kama hicho anachokunywa ni mkojo ama juice wewe Nisha unajiabisha sasa acha hizo kwani watu wanafikiri umechanganyikiwa Hamisa Mobeto kaachwa na baba mtoto Wake lakini Mobeto katulia kimya analea mtoto Wake vizuri bila ya kulalamika kwenye mitandao ya kijamii

    ReplyDelete
  3. UJINGA MTUPU. SHULE NI MUHIMU SANA.

    ReplyDelete
  4. hii movie itaisha lini?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad