Mzee wa Miaka 75 Ameweka Bango Lenye Sifa za Mke Anayemtaka, Katikati ya Mtaa Anaoishi


Mzee wa miaka 75 nchini Tanzania ameweka bango lenye sifa za mke anayemtaka, katikati ya mtaa anaoishi.
Athuman Bakari Mchambua mkazi wa Dar es Salaam amechukua hatua hiyo baada ya kifo cha mke wake.
Amesema hawezi kutumia njia nyingine yoyote isipokua udahili ama mahojiano kumpata mke. - BBC

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inshallah babu yangu utapata hitaji la moyo wako...

    ReplyDelete
  2. tulia babu. Achana na totoz upepo sio mzuri. ridhika na wale ulionao.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad