MZEE wa Upako Awaombea Kifo Waandishi wa Habari

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako amesema waandishi wote wanaoandika habari za kumchafua watakufa kabla ya kufika Machi mwakani.

Kauli hiyo aliitoa jana ikiwa ni mwendelezo wa mahubiri yake ya nne katika wiki ya tatu mfululizo, akijibu yaliyoandikwa kwenye vyombo vya habari kuhusu kumfanyia fujo jirani yake na kulewa.

“Kila mwandishi aliyeniandika vibaya ikifika mwezi wa tatu akiwa hai, mimi naacha kuhubiri, nafunga virago nakwenda kuuza gongo, sasa Mungu ndiye ataamua kwamba ama niache kuhubiri mimi au wewe ufe …najua hata leo mpo humu mmekuja na mnasikiliza tu,” alisema.


Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na watajulikana kwa matunda yao na mahubiri yao. kisasi ni cha Mungu mwenyewe

    ReplyDelete
  2. Mungu tusaidie
    wahubiri kama hawa sio wa kutoka kwako haya ni mashetani

    ReplyDelete
  3. lusekelo wew ni fala kweli
    apo ndo naamini kweli wahubiri wa nyakati izi ni mashetani wa tupu
    wezi na wahongo na mnaochohubiri ni uongo mtupu
    Yesu alitukanwa akabezwa na kudharauria lakn kamwe hakufungua
    mdomo wake na kuwanenea mabaya waliompiga
    nakushanga wewe mchungaji wa mwendo kasi unaona aibu kwa uliyoyafanya sasa unataka wenzako wafe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msamaha alitoa Yesu yakaisha pale msalabani sasa wewe kwanini uendelee kumchosha Mtumishi kwa mdomo wako wenye pepo!!? Sasa ni kwamba Pale Yesu alitoa Mamlaka ya kukanyaga nnge na nyoka na kazi zote za adui na kuzishinda... Ili ashinde ni lazima aangamize kazi za adui ambao ni kama hizo za hao wanaomfatilia ili wamuharibie reptation yake. Mshindwe kwa jina la Yesu aliye hai. Amen

      Delete
    2. UKIPIGWA SHAVU LA KUSHOTO UNAGEUZA NA LA KULIA. HUMRUDISHII ALIYEKUPIGA,

      Delete
    3. Utukane makusudi ili usamehewe!! basi Yuda angesamehewa!!

      Delete
  4. Inasikitisha!!!!!!!!!Mchungaji!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad