MZEE wa Upako 'Kila mwandishi Aliyeniandika Vibaya ikifika Mwezi wa Tatu Akiwa Hai, Mimi Naacha Kuhubiri Naenda Kuuza Gongo'

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako amesema waandishi wote wanaoandika habari za kumchafua watakufa kabla ya kufika Machi mwakani.
mzee-wa-upako3

Kauli hiyo aliitoa jana ikiwa ni mwendelezo wa mahubiri yake ya nne katika wiki ya tatu mfululizo, akijibu yaliyoandikwa kwenye vyombo vya habari kuhusu kumfanyia fujo jirani yake na kulewa.

“Kila mwandishi aliyeniandika vibaya ikifika mwezi wa tatu akiwa hai, mimi naacha kuhubiri, nafunga virago nakwenda kuuza gongo, sasa Mungu ndiye ataamua kwamba ama niache kuhubiri mimi au wewe ufe …najua hata leo mpo humu mmekuja na mnasikiliza tu,” alisema.

Source: Mwananchi

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. chizi wewe
    labda waumini wako ndo watakufa

    ReplyDelete
  2. Acheni kumdhihaki MUNGU. Kwa hiyo yuko tayari kumwacha Yesu akauze gongo Kama wasipokufa na wewe upo hapa unashangilia na kusema neon linaruhusu kuua? Hapa ndio naelewa kwa nini neon la MUNGU Linasema mnazuia wengine wasiingie mbinguni na hata NYIE wenyewe hamuingii. Msijidanganye kwa sababu mnahubiri mkafikiri ndio solution. Hakuna kinyonge kitaingia mbinguni. Hayo maneno hayakupaswa kutoka kwa mtumishi wa MUNGU alie hai. Mwogopeni Mungu nyie

    ReplyDelete
  3. Acheni kumdhihaki MUNGU. Kwa hiyo yuko tayari kumwacha Yesu akauze gongo Kama wasipokufa na wewe upo hapa unashangilia na kusema neon linaruhusu kuua? Hapa ndio naelewa kwa nini neon la MUNGU Linasema mnazuia wengine wasiingie mbinguni na hata NYIE wenyewe hamuingii. Msijidanganye kwa sababu mnahubiri mkafikiri ndio solution. Hakuna kinyonge kitaingia mbinguni. Hayo maneno hayakupaswa kutoka kwa mtumishi wa MUNGU alie hai. Mwogopeni Mungu nyie

    ReplyDelete
  4. we mari mutondi utakuwa na mapepo wewe
    hata biblia huijui unashabikia tuu
    nyie ndo wale waumini mnaomwamini mchungaji kama vile ni Mungu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndiyo una mapepo kutwa kucha kuwasakama watumishi wa Mungu! Ukifa kawaulize Miriam na Haroun nini kiliwapata walipomsema Mtumishi wa Mungu Mussa! Kufa na mfe, mmezidi.

      Delete
  5. TUMUOMBEE MZEE WA UPAKO,MAANA BIBLIA HIYOHIYO ITAWAINGIZA WATU PEPONI NA BIBLIA HOYOHIYO ITAWAINGIZA WATU MOTONI.MZEE WA UPAKO AMESOMA NA ANAENDELEA KUSOMA BIBLIA LAKINI BAHATI MBAYA HAJASOMEA BIBLIA,HAJASOMEA UKRISTO.NAOMBA SANA MUNGU AMPE HEKIMA MZEE WA UPAKO.

    ReplyDelete
  6. Kama ww ni mtumish wa Mungu na unamwamin Mungu ya nn kutabiria vifo wanadamu? Nahali uku unajua n dhambi napia hakuna binadamu alie kamilika? Iman yako ipi haswa? Wapo watu wakubwa hapa dunian wanatukanwa kila sku lakin hawajawah ata kusema neno lolote zaid yakukaa kimya. Sio kwamba hawaon......ok any way.........ila Mungu nimkubwa sizan kama itatokea kwa utabiri huo wachuki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad