Ni Kweli Nafasi ya Diamond Imechukuliwa na Darassa?

Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.

Je kuna ukweli wowote hapo???
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huo wimbo sijui "Too Much" hauna lolote lile ukiachilia hizo beats na hizo clothing line walizovaaa kuanzia huyo mwimbaji na hao akina video queen. Otherwise ni wimbo wa kawaida sana na tena hauna hata mantiki. Huwezi kumfananisha huyo kinyogoli na akina Jay Z hiyo ni sawa sawa na kuyalinganisha maji na mafuta. Ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa. Kwanza ni kwa nini hao ma video queen ni waneeene hata hawapendezi. Ni kwa nini msiwaweke wale ma video queens ma model. Mademu wembamba wembamba hivi.

    ReplyDelete
  2. mbona wanapiga mziki tofauti?acheni uchanganishi,alafu diamond amevuka boda tayari.

    ReplyDelete
  3. Darasa ndiyo nani? Ametoa ngoma gani, hebu tuwekeeni tuburudike nayo basi

    ReplyDelete
  4. DARASA AENDE DALASANI KWANZA DOMO NINOMA INTERNATIONAL ARTIST

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad