RAIS Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela, Taasisi NIMR aliyokuwa akiiongoza Jana ilitangaza kuwepo kwa Virusi vya ugonjwa wa Zika Nchini lakini baada Wizara ya afya kupitia Ummy Mwalimu ilikanusha Taarifa Hizo, Bado Haijaeleweka sababu hasa ya kutenguliwa kwake.....
Source:Jamii Forums
HABARI ZA HIVI PUNDE:ALICHOAANDIKA DR MWELE MALECELA BAADA YA KUTUMBULIWA NA RAIS JPM HIKI HAPA.., ZAIDI SOMA HAPA>>http://www.tanzaniabase.com/2016/12/dr-mwele-malecela-talks-after-revoked.html
ReplyDeleteTumbua tumbua babaa mpaka wanyooke
ReplyDelete