RIDHIWANI Kikwete Awaponda Diamond na Ali Kiba, Awapa Onyo

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big

Pia amesema mzee wake anapenda muziki lakini wa zamani ila wasanii wa bongo flava alikuwa akikutana nao kwa kuungabishiwa na yeye
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wE lizwani , Wacha ya Bifu na Steki. Kwani tupaki ali chalinxe a Mlandizi? Angalia ya maendeleo .. Ali Dimondi.. Hawa kivyaovyao katika biasara yao. Pesa inachanja mbuga... Uko wapi wewe?

    ReplyDelete
  2. WE lizwani , Wacha ya Bifu na Steki. Kwani tupaki aliku chalinze au Mlandizi? Angalia ya maendeleo .. Ali-Dimondi.. Hawa kivyao vyao katika biasara zao. Pesa inachanja mbuga... Uko wapi wewe?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad