SIKILIZA Wimbo Mpya wa Lady Jay Dee Akiwa na Mpenzi Wake Mpya Spicy......

Hivi karibuni kulikuwepo na tetesi nyingi sana katika mitandao ya kijamii zikisema kwamba mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Lady Jaydee amefunga ndoa na mwanamuziki wa Nigeria, Spicy, na sasa wawili hao wameachia wimbo wa pamoja, Together Remix


Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ......Ndio yanakuwa hivyo mwanzoni.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeonaa eeh,ila mla ni mla leo mla jana kalani?

      Delete
  2. Gadner anausikilizaje sasa,Halowoooooooooooooooooooooooooooo!

    ReplyDelete
  3. DADEKI JIDEE,NIMEURUDIA MARA 15 SASA

    ReplyDelete
  4. Mnaigeria amepata kamata nchinje ya kibongo baadaye akishachoka na hiyo kamata nchinje ya kibongo kibuti anarudi anaoa kwao ndiyo zao hizo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad