TOTO wa Miaka 5 Aliyebakiza Miezi Miwili ya Kuishi Dunia


Mtoto huyu anaitwa, Bradley Lowery, ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya Sunderland.

Ana miaka mitano na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi
zake na kuupeleka mwili wake futi 6 chini ya Ardhi.

Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley.

Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi, kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani.

#Everybody dies but not everyone has lived..So sad
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acheni kufuru hata malaika hajui siku za binadamu za kuishi na mtu hufa kwa Mungu kutaka sio binadamu na bina damu hawezi kukupangia maisha ni Mungu ONLY hio siamini

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad