TUZO Tatu Alizoshinda ALIKIBA Zamfanya Mwanamuziki AT Ajikojolee Kitandani....

Kabla ya tukio kubwa la #EATVAwards jana usiku, msanii AT aliahidi kuwa kama Kiba angeshinda tuzo basi kwa furaha angekojoa kitandani. Baada ya tuzo hizo na Kiba kulamba tuzo 3. AT ametimiza ahadi hiyo na kutupia picha insta.

Una neno gani kwa AT?
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WHAT F.....CK!!!!

    ReplyDelete
  2. muongo huyo anatafuta kiki wala hajakojoa kitandani yawezekana amemwagia maji tu, mtu utakojoaje kitandani halafu kitanda kinuke mkojo bila sababu wakati umekinunua mwenyewe kwa pesa yako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad