UTAFITI: Ripoti ya Taasisi ya Twaweza Yaonyesha Asilimia 92 Wanataka Bunge Live


UTAFITI: Ripoti ya Taasisi ya Twaweza yaonyesha asilimia 92 ya wananchi wanapendelea vipindi vya Bunge kuonyeshwa moja kwa moja.

Pia katika utafiti huo asilimia 65 wanasema Vyombo vya Habari havijawahi au kama vimeshawahi, ni mara chache sana vimekuwa vikitumia vibaya uhuru wake kwa kutangaza vitu ambavyo si vya kweli.

Utafiti pia unaonyesha wananchi wanaunga mkono kwa kiasi kikubwa uhuru wa maoni na kupata taarifa. Karibu wananchi wote (95%) wanasema wananchi wawe huru kuikosoa serikali pale ambapo wanaona imekosea.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hatutaki kuwaona watafuta kiki na wasio jiheshimu Live not live.. Hawa watoro tumeshachoka nao... Tunataka kuona Action ya Maendeleo ya Nchi. Ubishi na Vioja wapeleke Magengeni na Siyo kama ilivyo kuwa hapo awali. Tumewachagua kuiletea masilahi nchi na wananchi na siyo kuona sura zao. TUNAWAJUA TOSHA. Hapa Kazi TU na mimi simo!!!!!

    ReplyDelete
  2. Hatutaki kuwaona watafuta kiki na wasio jiheshimu Live not live.. Hawa watoro tumeshachoka nao... Tunataka kuona Action ya Maendeleo ya Nchi. Ubishi na Vioja wapeleke Magengeni na Siyo kama ilivyo kuwa hapo awali. Tumewachagua kuiletea masilahi nchi na wananchi na siyo kuona sura zao. TUNAWAJUA TOSHA. Hapa Kazi TU na mimi simo!!!!!

    ReplyDelete
  3. Nadhan huu ndo utafit wa kwanza kwao kuwa wa kweli na nadhan ndo utakuwa wa mwisho pia

    ReplyDelete
  4. Mtachoka tuu kupigia debe bunge live mpaka mtoe povo bunge live kuisheni

    ReplyDelete
  5. Tunaomba walete mada hii isiyo na msingi. Wapunzike na kutupa nafasi tuweze kuangalia ya maana zaidi ikiwepo sisi kuendelea na productivity.. we need kufanya kazi kujiletea maendeleo. Sera tulizo wachagulia na kuwapa kura bado siko katika imani zetu kwamba wanatekeleza hapo bungeni. Tuendelee na imani hiyo . hata bila ya kuwaona. Sura zao tunazijua na ilikuwa mmojawapo ya changamoto zilizo pelekea kuwachagua kwao. Baada ya kuona wanatoroka bungeni na kuanzisha malumbano yasiyo na mishiko wala heshima wala nidhamu. Tunaomba chonde chonde msirudie kosa la kutuonesha bunge moja kwa moja. Tanzania tunataka kazi na uzalishaji. Hapa ni kazi tu.

    ReplyDelete
  6. Tunaomba walete mada hii isiyo na msingi. Wapunzike na kutupa nafasi tuweze kuangalia ya maana zaidi ikiwepo sisi kuendelea na productivity.. we need kufanya kazi kujiletea maendeleo. Sera tulizo wachagulia na kuwapa kura bado siko katika imani zetu kwamba wanatekeleza hapo bungeni. Tuendelee na imani hiyo . hata bila ya kuwaona. Sura zao tunazijua na ilikuwa mmojawapo ya changamoto zilizo pelekea kuwachagua kwao. Baada ya kuona wanatoroka bungeni na kuanzisha malumbano yasiyo na mishiko wala heshima wala nidhamu. Tunaomba chonde chonde msirudie kosa la kutuonesha bunge moja kwa moja. Tanzania tunataka kazi na uzalishaji. Hapa ni kazi tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad