VIDEO: Magoli ya Samatta aliyoifungia KRC Genk vs Waasland-Beveren, Nov 30 2016

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa November 30 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kuiongoza timu yake ya Genk kupata ushindi dhidi ya Waasland-Beveren.

Samatta aliifungia KRC Genk magoli mawili katika ushindi wa goli 3-1, Samatta akifunga magoli hayo dakika ya 15 na 42 na baadae mnigeria Wilfred Ndindi akapachika goli la tatu dakika ya 80.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si ajabu samatta anatumia uchawi sababu hamna mtanzania yeyote amefika kule alipo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad