VIDEO: Mtoto wa mh. Lema aongea baada ya baba yake kukosa dhamana

Godbless Lema Mtoto wa kwanza wa kiume wa Godbles Lema akiongea na wanahabari nje ya Mahakani ya Hakim Mkazi Jijini Arusha baada ya Baba yake kufikishwa Mahakamani hapo kwenye muendelezo ya kesi huku akikosa dhaman na kurudishwa Gereza Kisongo, kesi imehairihswa mpaka 2/2/2017

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnaenda na kuwadanganya watoto wenu kuwa mnapigania haki. Hizo ni haki gani zinazotafutwa kwa matusi na kejeli kwa Watawala wa Nchi. Ni kwa nini msiwaambie hao watoto wenu ukweli wa mambo ili wajue ni kitu gani hasa kinachowafanya muwe hapo mulipo. Hizo tabia za kwenda na kuwaambia mauongo uongo watoto zenu sio kitu kizuri kwa hao watoto na hata kwa familia zenyewe na Taifa kwa ujumla. Mnaenad na kuwa brainwash watoto wenu siku ya siku wakija kuwageukia nyie wazazi mtrabakia hapo mnalalamika.

    ReplyDelete
  2. Tunataka kuona haki inatendeka sawa kwa wote. Na familia za wafungwa wengine zipelekwe Mahakamani ili Ndugu zao wanaporudishwa Gerezani na wao wawaage na pia watoto wao wapewe nafasi za kuzungumzia mustakabali wa Baba zao ama Mama zao. Ni kwa nini iwe kwa mtoto wa Lema pekee,kwani yeye amekuwa ni nani. Kwanza huyo mtoto kupewa nafasi ya kuzungumzia kesi ya baba yake ambayo bado iko hapo Mahakamani ni kosa. Na sijui ni kwa nini na huyo mtoto asiadhibiwe kwa mujibu wa kanuni na sheria za Mahakama kwa kuzungumzia kesi ambayo iko mbele ya Mheshimiwa Jaji. Huyo Lema ametenda kosa na anastahili adhabu tena adhabu kali kama wafungwa wengine wowote wale. Na sio kweli kuwa yeye ni mtu maarufu kiviiiileeeeeeeee. Kwa jambo lipi hasa alilowafanyia Watanzania.Mtu mzima hovyoooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  3. Hapa kuna tatizo. Uonevu wa namna hii MUNGU ndio huwa analipa kisasi. Msifikiri mko salama TU kwa sababu MUNGU anaonekana Kukaa kimya. Mkumbukeni Farao. MUNGU alimpa muda mwingi TU atubu hakusikia. Kuwa kiongozi SIO manake unyanyase wengine. Adhabu ya MUNGU ikija msije mkamlaumu mtu.

    ReplyDelete
  4. funga huyo lema
    mnaleta mtoto azungumze ili aonekane hana kosa
    hapa kazi tuu

    ReplyDelete
  5. baba ako anapigania haki gani??

    hana lolote labda haki ya nyumbani kwenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie hapo juu woote mbona povu linawatoka sana kwa maneno ya mtoto mdogo ha!!! nyie ni wachawi kabisa hamfai hata kido!

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad