VIDEO ya Ommy Dimpoz na Mpenzi Wake Ndani ya Mapenzi ya Show Off

Baada ya kuandamwa sana ana matatizo ndio maana hajawahi kuonekana na mwanamke na hana hata mtoto wa kusingiziwa na Nay wa Mitego, 
Kisha Diamond kuandika kuwa aligoma kumpumulia ndio maana ana visasi naye, Ommy katupia picha akiwa na mpenzi wake huko Instagram

ANGALIA VIDEO:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atajiharibia zaidi, mtu akiwa na mpenzi wake tunajua inavyokuwa, sio hivyo alivyotuonyesha. Bora ajinyamazie tu.

    ReplyDelete
  2. Jongoo wake hapandi mtungi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad